Vijana Dicksoni Job, Ibrahim Bacca, Mudathir Yahya na Clement Mzize walipiga kazi ya uhakika wakiwa na pumzi Ile Ile mwanzo mwisho mpaka nikajiuliza Hawa wamechomwa sindano za kuongeza nguvu wakiwa kwenye kambi ya timu ya taifa kama tulivyoaminishwa na wajinga wachache ama imekuwaje?
Pumzi za hao wachezaji na fitness zao zilikuwa kwenye level ya juu sana, Bacca na Job walikuwa wanakwenda kusaidia kwa Kapombe na Mohamed Hussein pindi kulipotokea hatari na bado wakawa na uwezo wa kuzima hatari zote pale katikati!
Ningependa tuambiwe ni mabomba mangapi ya sindano yalitumika kuwaongezea Hawa vijana nguvu za kucheza dk zote bila kuchoka wakiwa timu ya taifa!
Soma Pia: Inasemekana Wachezaji wa Yanga wanatumia dawa za kusisimua mwili uongozi utoe tamko au upuuzie?
N;B siku zote mchawi sio mpaka aruke na ungo bali ata wivu na roho mbaya ya maendeleo ya mwenzako ni uchawi tosha!