Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wale vibaraka waliotumwa na sisiemu kuja kuchafua hali ya hewa hapa JF muda wao wa kazi umeisha na sasa wanarudi rasmi kwenye shughuli zao nyingine.
Ninaamini JF itarudui kwenye status yake ya miaka yote.
Malaria Sugu na kundi lako kwaherini, pia pole sana kwa kupoteza majimbo na kata nyingi.
TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA

Poleni pia kwa kutotimia kwa matumaini yako. Tutaendelea kusoma ila kuchangia itakuwa mara chache chache, mara 1 baada ya miezi kadhaa sio mbaya. Ila mpaka aapishwe JK ndiyo tutatulia kiasi!
Hope this message goes to the other side too.....
You are Evil.Mageuzi ndo yameanza kati ya leo na miaka 10 ijayo sioni kama utaendelea kufurahia udhalimu wenu tena.
It's getting more harder and harder dawg,Dr. Slaa kawasha moto mbaya.
And you know what? There are millions of Dr. Slaas coming!..Hold on.
Poleni pia kwa kutotimia kwa matumaini yako. Tutaendelea kusoma ila kuchangia itakuwa mara chache chache, mara 1 baada ya miezi kadhaa sio mbaya. Ila mpaka aapishwe JK ndiyo tutatulia kiasi!
Kuipiswa si Kutawala.