Salimin Ramadhan
Member
- Nov 29, 2016
- 21
- 7
Ukiondoa wale wanaofanya kama urembo, gari zenye antena kama hizo huwa na radio call ya base station kwa ajili ya mawasiliano.Wadau habari!
Mimi Leo naomba kufahamishwa kazi ya Antenna zinazofungwa kwenye Magari. Mfano ni katika picha hizi [emoji116][emoji116]
Naomba tufanye ku share elimu.View attachment 2896564View attachment 2896565