Kazi ya asali ni nin?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Samahanin wakuu,jana usiku kwenye mida ya saa 2 nilikua nimejibanza kwenye ukuta wa moja ya block maarufu hapa mabibo hostel ambapo watu huwa wanapenda kwenda kukaa na kupga story mbili tatu,mara nkackia wadada wawil wanapga story zao,mmoja akawa anamuambia mwenzie hivi ''shost ka haisimami haraka,we chukua asali then mpakae afu uwe ka unailamba,nakwambia atapiga kelele mwenyewe na kamwe hatakusahau ktk maisha yake,kwan c unaona me wangu alivyo niganda,ndo utundu huo nakuibia shost wangu'' bac me nkajifanya kupga chafya ili kuwakatiza maongezi yao!sasa wakuu,ebu tuambiane asali nayo huwa ni lubricant ktk majamboz?
 

Senetor...
kwa mtazamo wangu hapo asali ameiweka kama madoido tu...kumpa mzuka wa kulamba cone...ila haina kazi yoyote ktk kusimamisha dudu!...ikinyonywa kwa ustadi bana haina haja hata ya asali...kitu lazima iwe mguu sawa!
 
dah, block gani mkuu.., sio dem wangu kweli!!!!!!!!!!!!.?
 
Weekend zina mambo!
 
Asali mwenzie Ulimi. Paka popote kwenye mwili kisha pitisha/pitishiwa ulimi. Ila tahadhali wakuu ukimpata fundi wa ulimi waweza kuwa kama umetemwa na anaconda! mweeee!
 
jaribu na ice cream nayo iko poa tu ila sawala linabaki pale pale upate fundi mzuri vinginevyo hawachelew kukuchubua hawa
 
do hata mimi sijui kama asli nayo ina kazi kwenye mapenzi kwa kweli kwa hili mi pia nahitaji darasa kutoka kwenu.
 
Ndio kwanza nasikia acha nikae mkao wa kula.
 
we ucngepiga chafya ungeskiliza mpaka mwisho ungeckia hata kaz ya hyo asali kuliko kuja kuwafungua watu ubongo hapa.
 
Samahanin wakuu,jana usiku kwenye mida ya saa 2 nilikua nimejibanza kwenye ukuta

Duh....yaani Mwanamme mzima unajibanza ukutani..

Salaale, afana aleki kufa hakuna breki
 
Mahabat ya pwani ndugu..Asali ni chachu yan kwa lugha laini ni Chachandu ktk majamboz,..sharti muwe wasafi,mmeoga,mmetakata..asal waweza imimina kmtndo kifuani,kwenye chuchu,ktkt ya matit(mferejini),mgongoni,kiunoni,kwnye tango kmtindo,..ama anywhere u'll be conftble with,..then ulimi sasa uutumie kwa ufundi na ustadi kulamba iyo asali ktk kuamsha mashamsham uwanjan...
Note:
C lazima saana,.asal inahtaj ufundi ktk kuitumia,..cyo unakurupuka kunwagia mwenzako bila kujadil,men wengine hawajui izo mambo,watahis limbwata!
 
MziziMkavu alisema ukipakaza asali kwenye dushelele ukaingia mapango ya amboni au mabwepande basi dushelele inaexpand kidogo na kule kwenye craters panapata raha
 

si ungewauliza hao wadad?
 
asali ya tabora ina tobacco ni hatari ni kama umevuta fegi ukinywa asali ni tiba kwa magonjwa mengi kutokana na wingi wa uchafu ambao nyuki wameufyonza na kuujaza katika mzinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…