Kazi ya BOT ni nini? Shilingi yazidi kuporomoka, sasa $1=Tsh. 1,500


Tukiamua...............tutaweza
 
Kila Mtanzania ajiandae kufungua dollar account!
Sio JK atakaeweza kusolve hilo tatizo.


We cannot solve our problems with the same level of thinking that created them
 

Inviolata, hakuna kisichowezekana kama wote kwa umoja wetu tukiamua. Kama hawa waliopo hawawezi nadhani nafasi tunayo hapo October 31 tubadilshe serekali vinginevyo maumivu ni ya kwetu na watoto wetu.
 
Kila mmoja anajua kuwa shillings zinashuka na sasa ukiwa na dollar unaweza kupata mpaka 1,515 . Kwa hiyo waagizaji wa vi-usafiri fikirieni tena.. worth waiting au muende zenu sijui wapi!
 
mbona nasoma hapa naona:

http://www.bot-tz.org/

FX rates for 26/May/2010

Unit Buying Selling

USD: 136,104.36 138,882.00

Euro: 167,122.54 170,574.87

GBP: 195,241.70 199,254.01

KES: 1,713.23 1,743.65

ZAR: 17,303.31 17,644.55
Au mnaongelea nini? iyo ya mbele yake ni mauzo, nyuma yake ni manunuzi, leo tarehe 26 mwezi wa tano.
 
Sijui BoT wanapata wapi hizo rate, kama ni interbanking rates basi wanapotosha umma kwani hizo rate za 1360 zimeshasahaulika.. ukiwa na mzigo mkubwa unaweza hata kupewa 1,520 kwa jinsi soko linavyoendelea kupaa.. it is terribly volatile, I am afraid to say!
 
Duh nilishtuka sana maana mie najua madafu twanywa kwa bei ya TZS 500 tu sasa kuona yamefika 1500 nikasema eeh mola uchumi wetu waelekea wapi kumbe si madafu ya mnazi bali ni forex mweh
 

Aisee naona kamradi kangu ka matofali ya kibanda changu katafapigwa jeki sana nikigombania kasafari ka nje mida hii manake naona nikirudi alaamdulilahi!!!
 
BOT hawajui walifanyalo.

Hata ukiingia kwenye worldwide currency sites, mfano www.xe.com, utakuta 1USD = 1,527 Tshs!
 
Kwa nini bank kama CRDB bado wanaibia watu na hawabadiriki as the rates change?

Yaani wanatumia sijui rates za mwaka gani. Kama una account ya dolla na ukarogwa kuingia ATM machine, umeumia
 
Kwa nini bank kama CRDB bado wanaibia watu na hawabadiriki as the rates change?

Yaani wanatumia sijui rates za mwaka gani. Kama una account ya dolla na ukarogwa kuingia ATM machine, umeumia

Yeah, ni kweli CRDB hata ukituma pesa kutoka nje ya nchi interms of USD exchange rate yao iko chini kwa kununua japo kwa wiki hii naona wame-improve kidogo wakati wanauza kwa bei kubwa zaidi tena. Kwahiyo ukichukua madafu kwa VisaCard yenye akaunti ya dola umeumia.
 
Kwa nini shillingi huwa inaporomoka kila tukikaribia uchaguzi mkuu??????????

I smell a rat, usikute kuna hela chafu kama za EPA, Deepgreen etc. zimeshaingia mtaani kwa ajili ya kumuuza JK. Si mnakumbuka hata 2005 mambo yalikuwa lmost namna hii!
 
Kwa nini shillingi huwa inaporomoka kila tukikaribia uchaguzi mkuu??????????

I smell a rat, usikute kuna hela chafu kama za EPA, Deepgreen etc. zimeshaingia mtaani kwa ajili ya kumuuza JK. Si mnakumbuka hata 2005 mambo yalikuwa lmost namna hii!

Brother,
You are right, inawezekana watu wamepiga deal sehemu sasa wanatafuta dollar kwa nguvu zote ili wahamishie ughaibuni. Au wadosi wanahamisha mali zao, angalua kwa muda, kwenda ughaibuni wakihofia serikali inaweza kubadilika na ikabainika kuwa fedha zile hawakuzipata kwa haki..
 
Kwa nini shillingi huwa inaporomoka kila tukikaribia uchaguzi mkuu??????????

I smell a rat, usikute kuna hela chafu kama za EPA, Deepgreen etc. zimeshaingia mtaani kwa ajili ya kumuuza JK. Si mnakumbuka hata 2005 mambo yalikuwa lmost namna hii!

Uncle ndiyo maana yake mkuu.

Rais anamwandikia gavana aingize kama trilioni moja na nusu jkwenye mzunguko wa currency alafu uchaguzi ukiisha gavana anazivuta zote na kuzichoma moto.

Hili ni jambo la kawaida mno.

Australia kuna uchaguzi mwezi October mwaka huu dola imeporomoka kutoka 1 AUD= 90 cents usd hadi 1 AUD=80 cents USD.
Wanaparangana na wapinzania imebidi wapandishe kodi ya faida kutokana na faida za za uvunaji wa madini (extracted mining products) kwa wachmba madini.
 
Madini yanayochimbwa nchini kama soko lake lingekuwa Dar Es Salaam na mauzo
yote kufanyika hapo basi nchi ingekuwa na hifadhi kubwa ya fedha za kigeni kama
Johannesburg kwa South Afrika.
Lakini kwa hali hii mauzo ya dhahabu na almasi yanafanyika ughaibuni shillingi haiwezi
kutengamaa, nchi hii haina viwanda na hizo bidhaa za kuuza nje zinapungua siku hadi
siku kwa hiyo shillingi haina pa kuegemea itaendelea kuzorota kwa kwenda mbele.
 

Naona J. Mashaka leo kachambuliwa vizuri na adversary wake mkuu, US Blogger kule Michuzi Blog. Its very embarrassing kuona Professional Banker J. Mashaka hajui tofauti kati ya Monetary na Fiscal Policies kama ilivyodhihirishwa na US Blogger.
 
Naona J. Mashaka leo kachambuliwa vizuri na adversary wake mkuu, US Blogger kule Michuzi Blog. Its very embarrassing kuona Professional Banker J. Mashaka hajui tofauti kati ya Monetary na Fiscal Policies kama ilivyodhihirishwa na US Blogger.

Na mi nimesoma Mashaka gave a shot hila jamaa ndio kamwaga pumba hatari. Sidhani kama anaelewa kwamba ktk matatizo ya sasa wanao umia zaidi ni wale wenye kipato cha chini zaidi. Its the job of Ndullu kuwaeleza (advise) akina Mkullo what measures need to be taken na wao ndio hutengeneza policies (this is where the right fiscal policies have to be made based on what the govenor advised).

Sasa i do not know how he allocated the job of fiscal policing to the ministry of finance when the advise has to come from BoT (hadhina), wao ndio wanajua what money there his. Na fiscal policing is about money to generate or to cut (through taxation) hapo ndio hupangwa rate inorder to increase the economy movement based on the of state it. More cuts in good times so that the government can use the funds on its projects as the econmy is doing fine and less cuts to boost businessess BoT has to advise and the ministry has to implement based on the adivse.

How on earth would mkullo know how much is on the reserve at BoT without them, or how would he know how much is coming in without them. So how is going to make the right fiscal policies without their advise. In short if you talk about pumba the guy is full of them kwenye mengi tu.
 
Juma Contena,

Ni sahihi (according to US Blogger) kuwa kuna mgawanyo wa wazi wa majukumu na wajibu baina ya BOT na MoF ambapo the latter wanatunga na kutekeleza all fiscal-related issues/policies wakati the former kazi yao kubwa ni masuala yote yanayohusiana na uendeshaji wa Monetary policies. Hiyo haina ubishi mzee (Piga! Uwa! Garagaza!).
 

On the face value ndio utaona ni hivo, lakini in real politics it doesnt work that way. Kwanza watu wenyewe 'both of them' just mentioned the terms without fully explaining how they would solve with the problem at hand. They seem to think a third world economy could be tackled using same measures as economies that have reached equillibrum only now and then intervation is needed to bring back balance.

Hence measures taken by the west are not going to work for the improvement of a third world economy due to thousands of problems facing us. Kama nilivyokwambia mashaka made an attempt your guy kaboronga. The two policies aim to boost internal growth (macro) and the problems at hand, some form of protectionism is needed first or else tutaendelea na uchumi ambao huna involve a niche market those lucky enough to participate on it. Yet over two third of the population are daily struggles serikali inazani kilimo kwanza ndio sera, lol.

Usiangalie kwa kuwa one is involved with interest rates ukadhani only a banker can do the job and the other is of tax therefore its for a politician. kwanza angalia qualifications of those two people in those sectors ndio utaelewa why we need people with similar background. Ni watu ambao wanatakiwa kushauriana ktk mijadala ya maendeleo ili waweze kuja na right policies when needed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…