Kazi ya control box kwenye Gari

Kazi ya control box kwenye Gari

Mtoto Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2014
Posts
300
Reaction score
173
Nimeona gari nyingi zinazotumia turbo pamoja na pump ya umeme ndio zinakuja na control box!je ukiweka pump ya kawaida na kisha kutoa control box je gari itafanya kazi vizuri bila matatizo?
 
gari karibia zote kuanzia mwaka 1995 kuja juu zinatumia control box jina lingine ECU or PCM .Electronic Control Unit or Powertrain Control Mode
 
control box ni kama kichwa au ubongo kwenye mwili wa binadam.
 
Ina maana ukiweka pampu ya kawaida ukitoa ile ya umeme bila control box gari halifanyi kazi?
 
Umenikumbusha nilipigaga short Gari, wakati nalibust, nikaunguza hakaa kadude ilinikosti kwakweli
 
Back
Top Bottom