M Mtoto Tajiri JF-Expert Member Joined Sep 29, 2014 Posts 300 Reaction score 173 Jul 31, 2016 #1 Nimeona gari nyingi zinazotumia turbo pamoja na pump ya umeme ndio zinakuja na control box!je ukiweka pump ya kawaida na kisha kutoa control box je gari itafanya kazi vizuri bila matatizo?
Nimeona gari nyingi zinazotumia turbo pamoja na pump ya umeme ndio zinakuja na control box!je ukiweka pump ya kawaida na kisha kutoa control box je gari itafanya kazi vizuri bila matatizo?
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,209 Jul 31, 2016 #2 gari karibia zote kuanzia mwaka 1995 kuja juu zinatumia control box jina lingine ECU or PCM .Electronic Control Unit or Powertrain Control Mode
gari karibia zote kuanzia mwaka 1995 kuja juu zinatumia control box jina lingine ECU or PCM .Electronic Control Unit or Powertrain Control Mode
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,209 Jul 31, 2016 #3 control box ni kama kichwa au ubongo kwenye mwili wa binadam.
M Mtoto Tajiri JF-Expert Member Joined Sep 29, 2014 Posts 300 Reaction score 173 Jul 31, 2016 Thread starter #4 Ina maana ukiweka pampu ya kawaida ukitoa ile ya umeme bila control box gari halifanyi kazi?
M Mtoto Tajiri JF-Expert Member Joined Sep 29, 2014 Posts 300 Reaction score 173 Jul 31, 2016 Thread starter #5 Bado mtaalamu hajatokea humu!!
samilakadunda JF-Expert Member Joined Oct 13, 2011 Posts 1,780 Reaction score 355 Aug 1, 2016 #6 Umenikumbusha nilipigaga short Gari, wakati nalibust, nikaunguza hakaa kadude ilinikosti kwakweli