Kazi ya hilo tundu kwenye gari ni nini?


Safi unamuelekeo mzuri wa jibu, hewa yenye joto engine huwa na ngu ndaifu kwakuwa hewa yamoto huwa imeexpand na kuchukua eneo kubwa kwa ujazo hivyo husababisha ratio ya mafuta kwa hewa kuwa kubwa resulting to low efficiency , na turbo hugamiza hewa kuingia kwenye ingia kwa kiasi kukubwa na machine zake huzungushwa na hewa inayotoka kwenye exorce (ndo mana huwa inachelwa kuchanganya) ( nilisoma urubani kuna somo linaitwa Aircraft technical and Maintainance tunasoma engine mbalimbali)
 
Kuruhusu hewa iingie ndani ya injini kusupport Combustion
 
Kwenye vi_sport cars na hyper cars kama Ferrari, Lamborghini, Bugatti, etc inakuaga ubavuni. Ila the same function
 
Kwa ivo kazi yake ni sawa na mkonga kwenye L/criserr
 
Dhima ya tundu hilo ni kuruhusu na kuichannel hewa iingie kwa wingi kwenye engine ili iweze kuongeza uchomaji wa mafuta na kupelekea kutengeneza nguvu zaidi..
Kwa nijuavyo lakini..wasikilize na wengine
Kwa kifupi ni TURBO
 
Kwa ivo kazi yake ni sawa na mkonga kwenye L/criserr
Mkuu mkonga kazi yake ni kama pua kuvuta hewa ndani ili kufacilitate combustion kwenye engine.

Nadhani utanielewa maana ya kuvuta hewa na sio kuingiza hewa. Yani inavuta hewa kama pua

Ukiziba ukiziba aircleaner engine mwisho wa cku inazima.
 
Mkuu mkonga kazi yake ni kama pua kuvuta hewa ndani ili kufacilitate combustion kwenye engine.

Nadhani utanielewa maana ya kuvuta hewa na sio kuingiza hewa. Yani inavuta hewa kama pua

Ukiziba ukiziba aircleaner engine mwisho wa cku inazima.
Asante mkuu kwa kunielimisha kwa hilo
 
Inaitwa intercooler kama mdau namba moja hapo juu alivyotoa ufafanuzi ni inlet ya hewa pia inaongeza performance ya ziada ya injini.
 
Hewa ambayo inaingia hapo inaenda kwenye oil cooler moja kwa moja na siyo kwa aircleaner. Hapo hamna air cleaner kuna oilcooler.
 
Air Cleaner ilipo.. hata DCM za gongo la mboto zina mikonga yenye matundu..
 
Hilo tundu sio la turbo charger sababu turbo huwa inaelekea katika aircleaner hivyo inavuta hewa yake kupitia aircleaner!


hilo tundu ktk bonet huwa ni injection ambalo husaidia pia kuvuta hewa nyingi kupeleka ktk engine
Ahaha nimekumbuka movie ya Mad Max: Fury Road. Ukiimwagia maji gari inaongeza speed.
 
Kwa kifupi ni TURBO
Mkuu hiyo kitu sio turbo mkuu.

Inaitwa intercooler.

Kazi yake ni ku cool hewa yenye joto kali sana inayokua redirected kwenda kwenye engine from turbo charger.

Kwann hewa inakua na joto?

Ans: Turbo charger inakua na turbines ambazo zinafua hewa kutoka kwenye exhaust system na kuirudisha kwenye engine. Kumbuka hewa hiyi inakua na joto kali sana linaweza fika hata 1000°c .

Hewa hiyo kabla ya kufika kwenye engine inapozwa na huo mfumo ili ifike katika engine na temperature ambayo haitodhuru engine na kuongeza efficience zaidi ya uchomaji wa mafuta katika engine hence nguvu ya kutosha inatokea kwenye engine.

Turbo kit ni component nyingine kabisa mkuu.

Na intercooler pia ni component ya kupooza hewa inayofuliwa na turbo kwenda kwenye engine.

Eid Mubarak
 
Ongezea hivi..... Chini ya hicho kitu kama rejeta kuna feni ambayo inavuta hiyo hewa na kuiingiza kwenye engine kiurahisi zaidi.
 
Thanks for Clarification.
Hope Eid was OK.
Shawal Njema.
 
Intercooler hiyo!! Inapoza hewa inayoingia kwenye engine kwa kusukumwa/kugandamizwa na na Turbocharger! Ikipanda joto.
 
Sahihi kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…