Ur missing a point hapa, hewa hiyo inatoka kwenye mfumo wa exhaust ndo maana inakua na joto.Intercooler hiyo!! Inapoza hewa inayoingia kwenye engine kwa kusukumwa/kugandamizwa na na Turbocharger! Ikipanda joto.
Hujaulizwa ulisomea nini!! Asante kwa jibu la swali, ukiulizwa swali usitiririke CV zako.. Fanya kutoa jibu tu.Safi unamuelekeo mzuri wa jibu, hewa yenye joto engine huwa na ngu ndaifu kwakuwa hewa yamoto huwa imeexpand na kuchukua eneo kubwa kwa ujazo hivyo husababisha ratio ya mafuta kwa hewa kuwa kubwa resulting to low efficiency , na turbo hugamiza hewa kuingia kwenye ingia kwa kiasi kukubwa na machine zake huzungushwa na hewa inayotoka kwenye exorce (ndo mana huwa inachelwa kuchanganya) ( nilisoma urubani kuna somo linaitwa Aircraft technical and Maintainance tunasoma engine mbalimbali)