Kazi ya kufuga kuku

nina ujuzi na kazi hyo kwaiyo nina hitaji watu wa kufanyanao,bcoz na maliza 4m 4
 
okay,sehemu yenyewe ni Tanga so want to do it december if possible
 
Inabidi utoe maelezo yanayojitosheleza ili uweze kueleweka vizuri, vitu kama.;
1. Mahala pa biashara/ufugaji (mabanda yapo? Ya kwako au unahitaji aliyenayo au ndio ujenzi inabidi uwe ndani ya makubaliano)
2. Mtaji
3. Aina ya mkataba( unahitaji mtu wa kuajiri kufanya nae kazi au partner katika hiyo biashara)

Na vinginevyo..
 
Toa maelezo yanayojitosheleza kiongozi
 
oooh nafulahi sana kusikia hivyo,sehem ni korongwe na sio kuajiriwa ni kujiajili mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…