mkuu nashukuru, hiyo ya kilimo ni plan nzuri,
ila nishawahi kula loss kubwa kama mara 2 hiv kwenye kilimo,
ila mkuu nahisi nikipta kazi idara nyingine naweza kupata unafuu wa maisha na upendo wa kazi maake hap nna miaka 9 kazin lakin sina hata plot,
kilimo gani ambacho unawekeza je unashamba kwa ajili ya kilimo ,je umejiuliza yuko wapi,kilimo sio mtaji tu wa laki nane bana ni zaidi ya ujuavyo wewe ,hujaandaa shamba ,au huna kabisa,vubarua ,market hujafanya kilimo sio kukurupuka ndugu utaumbuka /!!!!!!!!!!!!take risk mkuu..au kama vipi wekeza kwenye kilimo kinalipa sana,ukishatengeneza faida unaazisha mradi mwingine..kilimo ukitumia laki tano hadi nane,unaweza tengeneza hadi milioni sita nane..then unaweza anzia hapo.kazi ngumu sana kupata na hazitofautiani sana kipato sema wabongo tuna kasumba.
kilimo gani ambacho unawekeza je unashamba kwa ajili ya kilimo ,je umejiuliza yuko wapi,kilimo sio mtaji tu wa laki nane bana ni zaidi ya ujuavyo wewe ,hujaandaa shamba ,au huna kabisa,vubarua ,market hujafanya kilimo sio kukurupuka ndugu utaumbuka /!!!!!!!!!!!!
Heshima mbele wakuu,
natafta kazi ya kununua inayoendana na qualification zangu,
nimesoma BAEd,
nnko inservice kwa miak 9 ,
lakini kutokana na mazingira kandamizi sana ktk kazi naamua kutafta kazi nyingine,
ahsanteni.
Hii msg yako hapa inawakilisha malaki kama sio mamilioni ya vijana wa kitz wanaohangaika mtaani bila msaada wowote. Kwa hali ilivyofikia sitashangaa mtu kuwa na wild dream kama hizi. Najua sio kosa lako bali ni mfumo tena kandamizi kama ulivyosema. Salama yetu vijana ni kutafuta jinsi ya kuung'oa mfumo huu vinginevyo kila siku kwetu itakuwa heri ya jana. Pole sana kaka.
I share your pain.
Heshima mbele wakuu,
natafta kazi ya kununua inayoendana na qualification zangu,
nimesoma BAEd,
nnko inservice kwa miak 9 ,
lakini kutokana na mazingira kandamizi sana ktk kazi naamua kutafta kazi nyingine,
ahsanteni.
wazee kilimo kizuri sana, kwa kuanzia kupata mtaji coz ukima mahind 3-4months unavuna so kama umelima acre nyingi na mungu akakunyoshea mkono, maisha unatoka.