Ninyi ni kina nani?
Kusambaza maeneo gani ya Tanzania?
Kusambaza kwa njia gani?
Kusambaza kwa aina mfumo upi wa malipo (% of sales au)?
Mnahitaji vijana wangapi?
Naomba ujibu hayo maswali kisha tupate mwanga.
Ninavijana wangu wanafanya michezo ya baiskeli ni njia pekee na nzuri ya usambazaji vipeperushi katika mazingira yoyote,ufanisi na uzoefu wa hali ya juu, ni vijana wadogo wachapakazi na wenye nguvu.
Kama kweli unahitaji ufanisi kwenye kazi yako nakushauri uwatumie hawa vijana.
maranyingi huwa wanatumika na makampuni makubwa ya vinywaji na simu