Kazi ya kutafsiri Yamtoa Jasho Jamaa. Cheki hapa

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
Kwani kutafsiri kiingereza kwenda kiswahili ni ngumu? Ah wapi, jamaa aliona ni simpo tu. Angalia alivyotafsiri.
Kiingereza: Zimbabwe’s main opposition leader, Morgan Tsvangirai, has died aged 65. He had been suffering from colon cancer for at least two years, but his condition deteriorated rapidly in recent days despite treatment in neighbouring South
Kiswahili:Wazimbabwe wakuu wa upinzani wakiongozwa na Morgan Tsvangirai amefariki kwenye umri wa miaka 65.Alikuwa akiugua kansa ya ukoloni kwa miaka miwili lakini hali yake iliharibika ghafla siku za karibuni licha ya matibabu ya jirani wa kusini.
 
Google Translate hio.... Ndio maana wanasema, Respect your Parents, they passed exams without Google
 
Nadhani ktk maongezi kila mtu hukosea hata kwa lugha ya kabila lake.
Hata wewe still umekosea.
Hiyo lg iache kama ilivyo tambua ilikuja na meli.
 
acha hadithi ya kuunda lete source
 
Ni kweli lakini hayaniusu ila uyu jamaa aliamua kuandika aya mavi akiwa amelewa ila na wewe ukitaka kujua haya ebu bust kidogo jamaa anaweza bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…