Mimi ni kijana Mtanzania na ni memba wa JF kwa takriban miezi 18, kazi ya kuwa moderator nimetokea kuipenda sana. Yeyote mwenye kujua jinsi gani naweza apply au nitajuaje kama iko vacant anipe jibu.
Na ikitokea nikaipata hii kazi basi watu watafurahi sana kwa sababu nitafanya mabadiliko ya kweli, naombeni mnielekeze chochote nachoweza kufanya ili niipate hii kazi.
Vipi ina mshahara? Isije nikawa nashindwa kula! Kisa nafanya kazi ya Mod-JF.
Ya nini kuomba ridhaa? ni-PM nikupe password ya invisible..sisi ndio mahacker wakubwa hapa town.
Nimesha-hack account za vinega huko FB mpaka nimechoka.
aaaaaah aaaah unataka JF wakulishe?Mimi ni kijana Mtanzania na ni memba wa JF kwa takriban miezi 18, kazi ya kuwa moderator nimetokea kuipenda sana. Yeyote mwenye kujua jinsi gani naweza apply au nitajuaje kama iko vacant anipe jibu.
Na ikitokea nikaipata hii kazi basi watu watafurahi sana kwa sababu nitafanya mabadiliko ya kweli, naombeni mnielekeze chochote nachoweza kufanya ili niipate hii kazi.
Vipi ina mshahara? Isije nikawa nashindwa kula! Kisa nafanya kazi ya Mod-JF.
Profile yako si mbaya japo inaonyesha mapungufu kadha!
Kwa mfano juzi ulianzisha thread HII-HAPA ambapo ikaonekana huna uhakika sana na mambo unayoleta majamvini!
Jitahidi kuwa makini..U-Mod ni kazi ya watu makini kabisa!