hii mbona sio mz tuu! ni tz nzimapili wafatilie maswala ya ardhi kuna uhuni sana kwenye hiyo idara
Kazi ya kwanza tunayowatuma Madiwani wa Chadema pa1 na wabunge wetu ambao kwa idadi yao watakuwa wana icontrol Halmashauri ya Jiji nikutuondolea hii Takataka(Wilson Kabwe)ni lazima aondoke,Ushenzi alioufanya kuanzia kwenye hatua za uteuzi wa wagombea,Campaign na hata kutangaza Matokeo hauvumiliki.Madiwani wetu waweke Shinikizo aondoke kama hataki waitishe maandamano wakazi wa Mwanza tupo tayari Nguvu ya Umma itamwondoa kwenye hizo ofisi zetu.

Huyo JKabwe atampeleka kwingine na fisadi mkuu.