Elections 2010 Kazi ya Mashushushu si Kuhujumu Uchaguzi

Status
Not open for further replies.

I have to be honest with you here. Article yako ina flaws nyingi and it appears that you did not even do a basic research before wrting. I am sorry if you take this personally but the reason for you putting it here is for us to debate it. Please do not write an article and expect that everyone will agree 100% with your opinion. Everyone is entitled to his/her own opinion. And, I do not think is fair, just and reasonable to class me into a certain group which you don't like simply because I differ with your opinion. That is not a way of responding to criticisms but a way of trying avoid them by seeking sympathy from others who don't like the group you don't like.

When I say that you article has flaws it is my own opinion and not opinion of a certain group you don't like. Kwa mfano katika aya ya 11 ya article yako unasema "Kwa nchi kama Marekani au hapa Uingereza, viongozi wa taasisi za intelijensia huitwa kwenye kamati za bunge kujibu maswali ‘ya umma’ au kutoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali yanayohusiana na usalama wa mataifa hayo." Pia kwenye paragraphy ya 16 unasema: Vilevile, katika baadhi ya nchi, kwa mfano Marekani na hapa Uingereza, kamati za bunge zinazoshughulikia masuala ya usalama zina nguvu kubwa na mamlaka ya kuwaita viongozi wakuu wa idara za intelijensia panapokuwa na umuhimu wa kufanya hivyo. Naamini kamati ya Usalama ya Bunge letu ina mamlaka hiyo pia lakini ni rahisi zaidi kugema damu kwenye jiwe kuliko uwezekano wa kamati hiyo kuwaita viongozi wa Idara yetu ya Usalama wa Taifa! Sijui tatizo ni uoga au kutojua majukumu yao.

Kwanza unasema "Naamini kamati ya Usalama ya Bunge letu ina mamlaka hiyo." Unaamini? Nini kimekufanya uamini hivyo? Instead of assuming why don't you just do a little basic research to find out if our bunge has similar powers ?

Pili, you argued that without even considering the different systems of administrations in those countries and Tanzania. Kwa mfano, Uingereza wanafuata parlimentary system ambapo idara hizi zinakuwa responsible to the parliament. Viongozi wengi wa hizi idara lazima wawe approved by the parliament. Ndio maana unaona bunge huko Uingerezea linakuwa so active sana kuhoji viongozi wa idara hizi because under parliamentary system they are entitled by their supreme law to do so.

Hapa Tanzania tunafuata presidential system ambapo rais ndie mwenye mamlaka ya mwisho na ambapo hizi idara zinakuwa answerable to the president na wakuu wa idara hizi wakakuwa appointed by the president. So your comparison cannot be maintained whatsoever because of the systems and laws in which in which these crucial departments operate in the respective countries. The problem with you is that because you have studied and you have knowledge of the theories of international security, you think that they apply mutatis mutandis to all countires. National circumstances must also be taken into account when applying international principles, practices, policies, etc.
 

I liked this one: Haimnyimi usingizi mwandishi iwapo wasomaji watapatwa kichefuchefu na alichoandika,as long as maandishi hayo si matusi,kashfa au uhaini.
So why you lashed at me F words then? Kwa nini usingelala usingizi without swearing? Labada ulipata kichefuchefu na response yangu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…