lina kiwelu
Member
- Mar 15, 2010
- 6
- 0
Una elimu gani? maana siku hizi Tourism ni proffesional kubwa...................................
Jamani hili neno professional linatumika visivyo sana na kila mara utaona hata wasomi hawatofautishi!
Tourism, law, accountancy these are professions
but tour guide, lawyer na accountant these are the professionals.
Una elimu gani? maana siku hizi Tourism ni proffesional kubwa...................................