nyilaegenge
Senior Member
- Apr 13, 2014
- 198
- 105
mpk sasa sijapata mshahar kisa tu nimetumia crdb, kwend kwenyew mjn tsh 15elfu kwa pikpik huku shule nina zamu,nasimamia mitihani huku kusahihisha brn du,mwl. mimi...wadau nioneshen njia nitoke...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpk sasa sijapata mshahar kisa tu nimetumia crdb, kwend kwenyew mjn tsh 15elfu kwa pikpik huku shule nina zamu,nasimamia mitihani huku kusahihisha brn du,mwl. mimi...wadau nioneshen njia nitoke...
ulchagua crdb mwenyewe sasa kwa nini unalialia cheki wenzako wa nmb wamekula salar kitambo
upo mkoa na wilaya gani?
njia rahisi ya kutoka ni kuacha kazi
mpk nipate kaz nyingne
Simiyu / itilima mbona town kaka, unasema pikipiki 15,000 au wamekuona una hela nyingi kwa kuwa umenona (tarafa gani/kijiji/kata), hapo kila siku magari yanapita kwenda Bariadisimiyu wly ya itilima
Ushauri mzuri kaka umempa maana kuna waalimu wengine huwa wanalalamika kwa mazoea kwa kuwa tangu enzi waliotangulia walikuwa wanalalamika, kama mishahara sekta zote ni sawa sema wao wanasiasa wanawatumia kama tool ya kuombea kura hivyo neno la mwalimu kunyanyaswa linakuwa sehemu ya maisha yake wakati kuna watu wanateseka pia kwenye sekta zingine sema hazigusi watu wengi hivyo ma-opportunistic (wanasiasa) hawapigi sana kelele lakini kwa waalimu wanajua kila kijiji,/mtaa na kata lazima kuwe na walimu.badili mtazamo mwalimu uwalimu si mbaya tumia ajira yako kama security ya maisha yako ya badae na mwezi siku na mwaka jiongeze ukikalia kulalama utalalama mpaka ustafu
OPEN UR EYES.
simiyu / itilima mbona town kaka, unasema pikipiki 15,000 au wamekuona una hela nyingi kwa kuwa umenona (tarafa gani/kijiji/kata), hapo kila siku magari yanapita kwenda bariadi
Ushauri mzuri kaka umempa maana kuna waalimu wengine huwa wanalalamika kwa mazoea kwa kuwa tangu enzi waliotangulia walikuwa wanalalamika, kama mishahara sekta zote ni sawa sema wao wanasiasa wanawatumia kama tool ya kuombea kura hivyo neno la mwalimu kunyanyaswa linakuwa sehemu ya maisha yake wakati kuna watu wanateseka pia kwenye sekta zingine sema hazigusi watu wengi hivyo ma-opportunistic (wanasiasa) hawapigi sana kelele lakini kwa waalimu wanajua kila kijiji,/mtaa na kata lazima kuwe na walimu.
Kipindi hiki ndio cha kutafuta uzoefu huku anapiga hesabu ya hata kufungua kituo cha mtihani kwa kushirikiana na wenzake maana hata akipiga kelele tayari ameshakuwa mwalimu pia changamoto za waalimu hata kabla ya kuchukua fomu ya kuingia chuo zinajulikana (afikirie way forward sasa hivi)
afu hiyo mitihani ya BRN pumbavu kabisa, watunge wao afu kusahahisha wanawaachia walimu mashuleni bila hata posho, na hela wamekula wao, ujinga kabisa huu, kwa mtindo huu sijui kama hiyo BRN itakuwa implemented vizuri mana mapokeo yameshakuwa hasi,inakera sanampk sasa sijapata mshahar kisa tu nimetumia crdb, kwend kwenyew mjn tsh 15elfu kwa pikpik huku shule nina zamu,nasimamia mitihani huku kusahihisha brn du,mwl. mimi...wadau nioneshen njia nitoke...