Good Neighbour
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 942
- 897
Safi.Fundisha ndugu zetu kazi wasongeshe maisha.Huo ni utu.Naomba nikushukuru kabla sijafa.Natafuta mtu anayehitaji kujifunza+kuwa dalali wa
-nyumba
-viwanja na
-magari
SIFA KUU
-awe mkazi wa dodoma mjini
ITAPENDEZA ZAIDI MWENYE
-piki piki yake hata kama ana gari ndogo kwaajili ya kazi itakuwa nzuri pia sababu kazi hii inauhisha movements nyingi
whatsap/Call
0622111186
Neiba
Neiba una roho nzuri sanaNatafuta mtu anayehitaji kujifunza+kuwa dalali wa
-nyumba
-viwanja na
-magari
SIFA KUU
-awe mkazi wa dodoma mjini
ITAPENDEZA ZAIDI MWENYE
-piki piki yake hata kama ana gari ndogo kwaajili ya kazi itakuwa nzuri pia sababu kazi hii inauhisha movements nyingi
whatsap/Call
0622111186
Neiba
ni kweli mkuuPM bilashaka imejaa.
asante kwa kushukuru mkuuSafi.Fundisha ndugu zetu kazi wasongeshe maisha.Huo ni utu.Naomba nikushukuru kabla sijafa.
Asante mkuuNeiba una roho nzuri sana