Kazi ya uddreva

Kazi ya uddreva

Mwangaza

Senior Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
198
Reaction score
64
Wadau,

Kuna ndugu yangu anatafuta kazi ya udreva wa kuendesha gari ya mtu binafsi,kampuni,serikali,gari ndogo au kubwa.

Ana leseni ya udreva, cheti cha VETA, na uzoefu wa miaka 2.

Mwenye taarifa, anitaarifu hapa wadau..0754 570060
 
Mkuu mbona serikali ilitangaza nafasi 202 za hiyo fani kwanini asiombe?
 
Mkuu mbona serikali ilitangaza nafasi 202 za hiyo fani kwanini asiombe?
keshachelewa dediline ishafika.Ila mkuu km una nia kweli ya kumsaidia huyo ndugu yako tupia jicho hapa jf na kule Tayoa, kila siku huwa naziona hizo nafas
 
"UDDREVA" ndio kazi gani hizo!? Mbona mimi nipo hapahapa TZ mwaka wa 38 sijawahi kusikia hiyo kazi, tufahamishane wadau kama ni job carrier mpya hiyo.
 
keshachelewa dediline ishafika.Ila mkuu km una nia kweli ya kumsaidia huyo ndugu yako tupia jicho hapa jf na kule Tayoa, kila siku huwa naziona hizo nafas

Ahsanteni kwa taarifa, wakuu.
 
Uddreva??????!!!!!!!! Jf kuna vilaza humu balaaaaa
 
Back
Top Bottom