Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
1. Imagine usalama wa taifa wanalinda taifa linaloonekana lenye ardhi na roho za watu alizoziumba Mungu.
2. Dini kwa maana ya mashehe mapadri na wachungaji wanalinda roho Imani upepo visivyoonekana na vitu ambavyo havipo ni Imani tu kwamba vipo ila havipo.
3. Taifa likichafuka lawama ni kwa usalama wa taifa hata wenye dini wataulaumu usalama wa taifa na WALA hawatajilaumu wenyewe wenye dini na Imani zao.
4. Usalama wa taifa na walinda nchi wakipoteza kwenye mission adhabu yao ni kifo pengine cha kikatili sana ila viongozi wa dini hawana adhabu hiyo.
Tuheshimu walinzi wetu wanaoonekana na wasio onekana.