Askari wa JWTZ mwenye asili ya Rwanda adaiwa kutoroka Tanzania! Jeshi limesema litatoa taarifa zaidi kuhusu mwanajeshi huyo anayedaiwa kutoroka na nyaraka muhimu za jeshi!! Source: Mtanzania Jumapili ====== OFISA wa cheo cha juu katika Jeshi la Wananchi (JWTZ), anayeaminika kuwa na asili...