kazi ya ushauri wa kodi

Voice of Wisdom

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
537
Reaction score
240
heshima nyingi kwa wakuu wote mliopo humu jamvini, na poleni na majukumu ya kitaifa na kifamilia. Mimi ni kijana wa kitanzania ninayetarajia kuhitimu masomo yangu agosti mwaka huu kutoka taasisi ya usimamizi wa kodi "institute of tax administration" ngazi ya stashahada "diploma in customs and tax administration". Katika kozi yangu nimepata utaalam kuhusu maswala ya kodi za ndani na usimamizi wa forodha, na kutokana na ujuzi huo nilioupata naweza kufanya kazi katika nafasi kama vile,:
ushauri wa kodi
kwenye kampuni za "clearing"
mhasibu msaidizi.
kutokana na maelezo hayo wakuu naomba mtu anayehitaji au anayefahamu sehemu wanahitaji mtu mwenye sifa zangu asisite kuwasiliana nami kupitia msifunijesus@hotmail.com
nawasilisha ombi langu
 
hongera sn ndugu yng,nikumwomba mungu mana ajira zmeshakuwa kimeo sisi 2po ktaa mwaka wa2 sasa ila bado chenga ,usitegemee sana kuajiriwa ni vzr ukawa na altanative,,,,,,kwa ifupi jipange maisha ya chuo na kitaa n v2 vwili tofaut kabisa
 
dah ngoma 2 yearz, hata mimi aixee, atafute mtaji ajiegemeza kwanza kwenye ujasiriamali.
 
nashukuru mkuu, mi binafsi si kwamba nafurahia sana kuajiriwa, ila akili yangu iko zaidi kwenye kujiajiri, ila changamoto kubwa nayoipata ni wapi pa kuanzia ndugu. Huko kwenye ajira naenda kwa malengo mawili 1. Kupata mtaji kwa mshahara kidogo nitakaodunduliza
2. Kupata uzoefu na kuelewa mazingira
 
dah ngoma 2 yearz, hata mimi aixee, atafute mtaji ajiegemeza kwanza kwenye ujasiriamali.

wazo zuri, huo mtaji ndo nautafuta wapi na vp! Maana ishu si kutafuta mtaji, ishu ni wapi huo mtaji unapatikana na unapatikana vp, nina "business idea" zaidi ya tatu na zote zikipata mtaji ndani ya miaka miwili nitakuwa natengeneza ajira. Swali linakuja pale pale, ni wape nitapata mtaji na kivip!
 
Ushauri wangu ni huu. 1. Vumilia kama kamishna wa fordha atatangaza kuanzisha makampuni mapya mwaka huu. Jiandindikishe ufanya mtihani ufaulu upewe leseni ya uwakala wa makampuni ya uwakala wa forodha. kama suala ni ushauri, wapo wengi na hawana kazi. vinginevyo tafuta kazi kwenye makampuni ya uwakala wa forodha.
 
heshima mkuu congo, kama umefuatilia majibu yangu kwamba nina "business plan" zaidi ya tatu, na kuanzisha kampuni ya kutoa mizigo bandarini ni mojawapo, ila tatizo linakuja hapa ili uanzishe kampuni utahtaji ofisi vitendea kazi ambavyo vinahtaji pesa pia nina wazo la kuingia ubia na mtu mwenye mtaji achangie pango la ofisi na vitendea kazi na mimi nifanye mtihani na nina.
Pia wazo lao la kufanya katika kampuni la uwakala wa forodha nalikubali asilimia mia, kama unamfaham mtu au unahtaji kunipa hyo nafasi mkuu sibhagui kazi.
 
Usihofu sana. Nakushauri kabisa kama una uwezo wa kufanya mtihani kuanzisha kampuni ya uwakala wa forodha achana kabisa na ubia. Unawatesa sana watu kwenye biashara hii. Ni-pm nikuelekeze.
 
Usihofu sana. Nakushauri kabisa kama una uwezo wa kufanya mtihani kuanzisha kampuni ya uwakala wa forodha achana kabisa na ubia. Unawatesa sana watu kwenye biashara hii. Ni-pm nikuelekeze.

nimeku-pm mkuu angalia inbox utaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…