Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Mind your language, should be taaluma not taaruma. Kama redio inatangaza Kiswahili hapo umekosa pointnina taaruma ya chuo
Habari zenu wakuu!! natumai mpo safi mkienedelea na majukumu ya kila siku.mimi ni mtanzania mwenzenu ambaye nimekuw a nikitafuta kazi ya radio presenter katika kituo chochote Tanzania.sina cheti ila ni mzoefu na nina taaruma ya chuo japo sikupata cheti kwa sababu ya tatizo flani!! mwenye contact au wamiliki wa redio station wanaopitia humu naomba msaada wenu. thanx