Kazi ya Uwakili

YOUR ATTORNEY

Member
Joined
Feb 28, 2025
Posts
14
Reaction score
32
Mimi ni Mwanasheria (Wakili), wa Mahakama Kuu na Mahakama zote za chini. Uzoefu miaka 5+

Jinsia - Mwanaume

Maeneo ya ubobevu ni: -
Masuala yote ya Ardhi,
Mirathi na Ndoa,
Kazi na Ajira,
Mkataba na Biashara
(makampuni),
Usuluhisi na Uendeshaji Kesi mahakamani,
Uandaaji nyaraka za kimahakama na kisheria na Utekelezaji Hukumu za Mahakama na Haki za binadamu.


Kadhalka ni Kamishna wa viapo na uthibitishaji nyaraka.

Napatikana Dar-Es-Salaam, ingawa Inawezekana kutoa huduma mahali popote Tanzania bara.

Karibuni tusaidiane kwa wenye changamoto kwenye maeneo hayo niliyoyataja.

Pia Niko tayari kwa Retainership kwa taasisi au kampuni zilizo tayari.

Email yangu ni logicm07@gmail.com
 
Atupe ufafanuzi kuhusu kesi ya mjane anaetaka kuuziwa nyumba iliyoachwa na marehem mumewe aliykuwa anadaiwa fidia kabla ya kifo, Je kesi inalithiwa na kuendelea kama muhusika wa kesi hyo ambaye amefariki?
 
Atupe ufafanuzi kuhusu kesi ya mjane anaetaka kuuziwa nyumba iliyoachwa na marehem mumewe aliykuwa anadaiwa fidia kabla ya kifo, Je kesi inalithiwa na kuendelea kama muhusika wa kesi hyo ambaye amefariki?
Nimeiona, though professionally si proper kuzungumzia kitu ambacho sijakiona na kuki-examine. Ila ukisoma scenario ilivyohadithiwa kwa ufupi, inaonekana Marehemu aligonga bodaboda na abiria, na kutokana na Hilo aliyeathirika alimfungulia Kesi marehemu maana inaonekana chombo Cha marehemu hakikuwa na bima (labda).


So baada ya kufa kwa marehemu Kesi ikahamia kwa Mkewe kama msimamizi wa Mirathi yake (I think). Tukumbike Kesi za madai Huwa hazifi. Zinarithiwa na successors wa marehemu.


So eventually mahakama ikapitisha uamuzi kuwa victim alipwe kutokana na estate ya Marehemu.


Disclaimer
(Nimeandika hili kwa assumption ya facts tu. Nisi hukumiwe kwa lolote).
 
Naweza kupata Mawasiliano ya Simu ya mkononi..? ( Namba ya Simu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…