Habarini Wana JF.
Swali langu ni kwamba muhitimu wa kidato Cha sita ambaye hajasoma course yoyote ya hospitality Yani mambo ya hotel na housekeeping anaweza para temporary job hotelini?
Mfano waiter? Au usafi? Maana nimesikia watu wengi wakizipata hizo kazi huku Zanzibar.
Mimi ni kijana wa miaka 22, hivyo basi nakuja mbele yenu kuomba kama Kuna mtu yoyote anaeijua hoteli inayopokea watu wa sifa tajwa hapo juu naomba unijulishe.
Niko tayari hata kufanya hiyo kazi bila malipo ila nipatiwe chakula na malazi tu...
Maana nimekuja huku Zanzibar kwa kazi ya ulinzi ila naona inanishinda, chakula hawatoi kama walivosema, pia kazi ni ngumu sana nahisi waliowahi kulinda wanaelewa.
Sasa Kuna mlinzi mmoja ndo akanipa wazo la kujitolea kwenye mahoteli.
Hivyo basi naomba sana sana sana msaada wenu, English yangu ni nzuri tu hata hapa kwenye ulinzi Mimi ndo natumika kuwasiliana na huyu boss mzungu.
Msaada wenu ni WA muhimu. Natanguliza shukrani.