Kazi za kubebana tz

Kazi za kubebana tz

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
434
Nina mzee wangu ambaye ni kigogo serikalini sasa cjui jinsi gani ya kumwambia aniweke ktk sekta au taasisi fulani km watoto wengine wa vigogo wanavyowekwa na wazee wao...Msaada wajameni nitumie gia gani kuongea na huyu mzee ili anisaidie nipate mchongo?
 
nina mzee wangu ambaye ni kigogo serikalini sasa cjui jinsi gani ya kumwambia aniweke ktk sekta au taasisi fulani km watoto wengine wa vigogo wanavyowekwa na wazee wao...msaada wajameni nitumie gia gani kuongea na huyu mzee ili anisaidie nipate mchongo?

picha ninayoipata kupitia huu uzi wako ni kuwa uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo pengine ndiyo maana hata huyo mzee wako anafikiria tofauti na wewe. Kibaya chajiuza, chema chajitembeza. Rudi kijijini ukalime, mjini hapakufai. Badala ya ku-fight kivyako-vyako unasubiri kubebwa hata kama huna sifa!!
 
nina mzee wangu ambaye ni kigogo serikalini sasa cjui jinsi gani ya kumwambia aniweke ktk sekta au taasisi fulani km watoto wengine wa vigogo wanavyowekwa na wazee wao...msaada wajameni nitumie gia gani kuongea na huyu mzee ili anisaidie nipate mchongo?

mzee wako si kigogo.angekua kigogo zama hizi wala usingeuliza swali humu.
 
Nina mzee wangu ambaye ni kigogo serikalini sasa cjui jinsi gani ya kumwambia aniweke ktk sekta au taasisi fulani km watoto wengine wa vigogo wanavyowekwa na wazee wao...Msaada wajameni nitumie gia gani kuongea na huyu mzee ili anisaidie nipate mchongo?

mbulula, mbulula, mbulula. Mbulula
 
Nina mzee wangu ambaye ni kigogo serikalini sasa cjui jinsi gani ya kumwambia aniweke ktk sekta au taasisi fulani km watoto wengine wa vigogo wanavyowekwa na wazee wao...Msaada wajameni nitumie gia gani kuongea na huyu mzee ili anisaidie nipate mchongo?

Si ndio nyie mnashidwa hata kusoma risala ?
 
Nina mzee wangu ambaye ni kigogo serikalini sasa cjui jinsi gani ya kumwambia aniweke ktk sekta au taasisi fulani km watoto wengine wa vigogo wanavyowekwa na wazee wao...Msaada wajameni nitumie gia gani kuongea na huyu mzee ili anisaidie nipate mchongo?
  1. ujiamini
  2. ujielewi
  3. ujitambui
ila sio vibaya kuwa na mtandao wa watu wanaoweza kukusaidia kupata taarifa za ajira sehemu mbalimbali
sababu usijifanye msomi sana ukaona vyeti vyako ndo vitakupa hela ya ugali .hapana kuchanganyika na jamiii kutakusaidi
sana! usife moyo utapata tu
 
Sikilizeni,
Hii ndio system inayo exist now, kama wewe hufanyi wenzio wanafanya. Unazubaa zubaa tu kusubiri za halali wakati wenzio wanawekana kisa maadili, huu ndio extreme u-mbulula.

Opportunity never comes twice mkuu. Mngeanza kwanza kuwatoa wale walioko kwenye nafasi mbalimbali kama Heslb, Bot, Tra, Pspf n.k. Ndio mje mumshambulie mtoa mada.
 
nisaidieni nitumie mbinu gani ili aniweke sehemu yoyote au hata kuwaambia rafiki zake wanisaidie ktk michongo?
 
NO one will take U from Mental slavery but Urself, Fight for Ur own man, unaweza shikishwa naniii,,,,,, then upewe mchongo, Angalia siyo wote wanapewa bure
 
Back
Top Bottom