Muda ni mtaji kama ilivyo pesa. Muda pia ni kipato kama vilivyo vyanzo vingine vya mapato. Kujitolea pasipo malipo ni upotezaji wa rasimali yako yenye kuweza kukuingizia kipato.
Kataa kujitolea, tembea na mlengo wako kichwani wacha mtaa ukuadhibu ila kwa mlengo wako utafika.