JAMANI NAOMBA TUSAIDIANE, KWA HALI YA MH. REGIA kweli alikuwa na sababu yoyote ya kujiendesha.....pamoja na kuwa wote tunayo siku yetu,pale naona kama alikwenda kinyume na hakujitendea haki!! :A S embarassed: na analipwa posho na mshahara wa driver.......!!