Kazi za mtandaoni (Affiliate Marketing)

Kazi za mtandaoni (Affiliate Marketing)

TIGER KING

Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
7
Reaction score
6
Tafadhali naomba kujua ni wapi au ni website gani ambayo inatoa offer nzuzi ya affiliate marketing na ambayo inakubali hata kwa nchi zetu za Africa ikiwepo na Tanzania.

Nmejaribu website mbalimbali juu ya hii swala na wanaeleza hadi commission zao na nmejaribu kuangalia video za YouTube kupata muongozo lakin nmekwama.

Msaada kwa yeyote ambae anafanya kazi hii ya affiliate marketing naomba msaada wenu wadau au anajua website nzuri pamoja na traffic sources inayolipa kwa hapa nchin kwetu.
 
Back
Top Bottom