Kazi za mtu mwenye bs of science degree in IT

Kazi za mtu mwenye bs of science degree in IT

johnny567

Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
22
Reaction score
9
wenzangu wa jamii forum nadhani mpo salama
naombeni mnisaidie kunipa muongozo wa kazi ninazo weza kupata na bs science degree ya IT na pay yake inaweza kurange vipi
 
Programmer, network administrator, system analyst, database administrator, lecturers,
 
PIga Code (Programmer) au database na networking popote papo sawa,cha msingi ujue vitu usiwe mbabaishaji life is easy boy,Kuwa mtabe kwenye angle yako ndani ya IT,hakikisha uko sawa either programming,networking or database.....Tulianza na kikampuni kidogo tukaanza na 500,000 - 700,000/= per month though inategemea na makubaliano ya terms,IT bongo mashimo yapo sana kamua jiweke safi kwenye angle yako pata ajira mwaka mmoja au miwili jiajiri LIFE IS EASY....Speaking from experience
 
Absolutely!!! Ss wa IT tunakula mema ya nchi ili mradi ufahamu unachokifanya!!!
 
Back
Top Bottom