Kazi za mwalimu....

Julz

Senior Member
Joined
Nov 10, 2010
Posts
107
Reaction score
21
katika mambo ambayo mwalimu Nyerere alipata sifa zaidi wakati wa uongozi wake ni kuwa na serikali inayowajali wananchi kwa vitendo. Jionee maghala ya chakula yaliyopo Iringa,kwa sasa ni marehemu....Je kwa sasa tunao uwezo wa kuyajaza nafaka???
 
Nmc bila shaka ni iringa hii wahehe wanaita kisande wakiwa na maana sehemu ya kuhifadhia chakula sasa hayo mabilioni ya dowans si yangefanya kazi kama hizo!
 
Siku hizi hatuna viongozi tuna maiiiihhhhhhzzz jiziiiiiii!!!!
 
Tujumike woooote pale Mnazi moja ili na sisi tupige kelele kama vile kule Misri tushinikize tumtoe Handsome boy!
 
Sio kweli aliwajali na kuwaumiza. Uliza wazee wa iliyokuwa east africa. UK ilitoa pesa wa kenya na uganda wakalipwa right away, wa Tanzania chini ya mwalimu wakaongopewa mpaka leo. Pili alishindwa kuandaa viongozi wabudhuti.
 
At least Mwalimu had a vision, c kama hawa mafala wa sasa
 
The same applies kwa rail ways... ukienda Tanga utashangaa iliwezekana vp enzi hizo kufanya yote yale ambayo kwa sasa yamekufa including the dying port of Tanga...
 
Sio kweli aliwajali na kuwaumiza. Uliza wazee wa iliyokuwa east africa. UK ilitoa pesa wa kenya na uganda wakalipwa right away, wa Tanzania chini ya mwalimu wakaongopewa mpaka leo. Pili alishindwa kuandaa viongozi wabudhuti.

Vipi upo kwenye foleni ya warithi wa kati ya wale wazee wa jumuiya!!?
 
VIWANDA VILIJENGWA....AJIRA KARIBIA ZOTE ZILITOKA SERIKALINI.....WATU WALIKUWA WANAKIMBIA KAZI......lakini tukumbuke mfumo wa ubepari ni tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…