Kazi za rural energy agency

AMAFUMU

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
221
Reaction score
113
wadau......ni mwezi may.....hawajamaa walitoa nafasi za kazi.....lakini hadi sasa sijapata kujua.....kama wameishaita interview.....kwa mwenye taarifa wakuu......!
 
hata mimi nasubiria nahisi nafasi zilishajazwa zamani
 
hahahahahahahahaha........jamaa wapo kimya sana......ngoja tujipe muda.......na vipi hawa muhimbili nao kunakipindi walitoa.........sijui ulikuwa wa pili ule......unadata zozote?
 
poleni sana!
Ukiapply
potezea
vinginevyo
utayafanya
maisha
yako
yawe
magumu
tu.
 
jamaa yuko right, cha msingi na sekondari ni kupotezea maana waweza kufa kwa presha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…