De Caprion
Member
- Sep 24, 2012
- 10
- 0
Msubirini Courtesy atakuja na majibu sahihi maana namkubali katika kuchangia post zinazohusiana na interview wewe tulia atakujuza muda si mrefu ngoja awasiliane nao HR wa TANAPA
nimewasiliana nae ananiambia vijana washaanza kazi long time
ukiona hujaitwa mpaka miezi miwili imepita ujue wazee wamepiga window chini
nchi ishaoza hii mkuu!!napita tu
tuma cv yako hr@tib.co.tz, margreth.msafiri@aogltd.com, unaweza kubahatika who knows mkuu!!Hahahaha safi sana mkubwa, bwanae am really serious kwa kuwa unafahamika hivo kwa maHR tafadhari niunganishe nao bwana mi nahitaji kazi ya IT my experince is 2 years as IT Technician Support na 2 years as a System Analyst. Please Courtesy msaada wako ni mhimu sana
tuma cv yako hr@tib.co.tz, margreth.msafiri@aogltd.com, unaweza kubahatika who knows mkuu!!
au peleka cv yako pale INFOSYS