Kazi za ualimu

Kazi za ualimu

NGOGO CHINAVACH

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
943
Reaction score
371
Wanajamii naomba kujuzwa nafasi za kazi ya ualimu katika shule za serikali kwa wale waliomaliza stashahada ya kwanza ni lini?
 
utakaa sana labda mwakanimwezi wa pili
 
Mkuu jaribu kua mvumilivu nimeckia zitatolewa mwezi wa wa tisa so mwenyewe nawait hizohizo mkuu
 
Walikuwa wansubiri matokeo ya diploma il wapange pamoja.september uhakika
 
Mimwenye nasubili ata wakinipeleka bush naenda kuamsha watu kuwapa elimu ya uraia.
 
Kwa jinsi nilivyokusoma mkuu ulimaanisha shahada (digrii) ya kwanza na si stashahada (dip) ya kwanza...nyie tulieni kazi zenu uhakika hata wakibana mwisho wataachia
 
Wakuu mtakaotch nn mcsahau kupga pnd la uamsho kwa raia au co?
 
Muende mkafundishe mkitakiwa kufundisha sio mkimbilie huko kuganga life then muda mfupi Bank Teller NMB. Kuna haja vijana wenye sifa za ualimu kuleta mageuzi katika elimu yetu kwa kadri tutakavyo weza regardless mfumo mbovu tulionao. Tusishau elimu ya Uraia wanafunzi wajitambue mapeeemaaa....
 
@RWEYE na WANAJAMII namaanisha walimu waliomaliza degree ya kwanza ya ualimu
 
vizuri sanaa,,,, lakini usiwe km Goodmorning students,,,,can somebody tell us wht global warming is??????
 
By mwezi wa 10 kila mwalimu atakua kesha pata kijiji.msiwe na wasiwasi wanafunzi wanawasubiri kwa hamu maporini huko.
Mzingatie sana haiba yenu na masomo ya malezi mliyo yapata vinginevyo mtaleta balaa manake wanafunzi vijijini wanapaka carolite.haiba walimu!
 
Na wanafunzi wa siku ful kudata, unaweza piga kelele clas ukiuliza swali hana akijuacho, kumbe anawaza kwingine.
 
No one is educated unless has ever been in the hands of teachers as every profesitional is made by teachers.Binafsi na waheshimu walimu hasa wenye ualimu.Hivyo wakuu mpatapo ajira msigome kwenda kuwafundisha wadogo zetu huko vijijini na plz msiende kuwakalilisha wala kuwafundisha kupass mitihani badala yake muwafundishe uzalendo,uraia na namna ya kuishi na kukabiliana na changomoto za maisha ktk mazingira wanayoishi, kwa kufanya hivyo nitaendelea kuwaheshimu. Ajira mwezi wa 1 mwakani kwa dip na bachelor siku chache zijazo.
 
ni vema kabisa, ajira hizo zitoke mapema kwani vijana wanakosa matumainii ya kukitumia kile walichokisomea. mkipata ajira msisahau kufundisha elimu ya uraia kwa wanafunzi ili watambue mifumo mbalimbali iliyowaqfikizha hapo walipo hususani uhaba wa vitabu, madawati, maabara, umeme, ukosefu wa madawa, bei juu ya sukari na miifumo mibovu ya kiutawala, ufisadi n.k. Na mkawaambie kabisa nchi hii haina amani bali ni nidhamu ya woga na hivyo wasiwe waoga katika kudai haki yao kama raia hata ikibidi kumwaga damu.


nawasilisha,
PROFESSIONAL TEACHER FOR ABOUT 15 YEARS---GRADE A, DIPLOMA, BED ARTS
 
wa2 wengine wanaleta utani sio fresh.Mshikaji 2subiri pamoko.
 
Back
Top Bottom