ni vema kabisa, ajira hizo zitoke mapema kwani vijana wanakosa matumainii ya kukitumia kile walichokisomea. mkipata ajira msisahau kufundisha elimu ya uraia kwa wanafunzi ili watambue mifumo mbalimbali iliyowaqfikizha hapo walipo hususani uhaba wa vitabu, madawati, maabara, umeme, ukosefu wa madawa, bei juu ya sukari na miifumo mibovu ya kiutawala, ufisadi n.k. Na mkawaambie kabisa nchi hii haina amani bali ni nidhamu ya woga na hivyo wasiwe waoga katika kudai haki yao kama raia hata ikibidi kumwaga damu.
nawasilisha,
PROFESSIONAL TEACHER FOR ABOUT 15 YEARS---GRADE A, DIPLOMA, BED ARTS