Kazi za upolisi

Makareti

Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
13
Reaction score
1
Jamani eti form za kujiunga na upolisi zinapatikana wapi? na mwisho wake ni lini?
 
jamani eti form za kujiunga na upolisi zinapatikana wapi? Na mwisho wake ni lini?


form za police zidownlodge kwenye website yao www.tanzania police force.go.tz au kwenye wizara ya mambo ya ndani katika kitengo cha police,ded line na maelezo mengine wapigie conduct zipo kwenye website yao:a s 465::a s 465:
 
Kwani una divisheni ngapi!
 
form za police zidownlodge kwenye website yao www.tanzania police force.go.tz au kwenye wizara ya mambo ya ndani katika kitengo cha police,dean line na maelezo mengine wapigie conduct zipo kwenye website yao:a s 465::a s 465:

Mkuu hzi bold ulikuwa unamaanisha nini?:spy:
 
Jamani eti form za kujiunga na upolisi zinapatikana wapi? na mwisho wake ni lini?

Kwa Dar es Salaa zinapatikana Msitu wa MABWEPANDE Bunju, ila kwa mikoani cjui labda uulize kwenye ofisi ya OCD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…