Kazi za wahasibu aprili 2011

Pole sana kaka kwa uvumilivu ulionesha mpaka sasa. Kama walivyosema wachangiaji wa mwanzo keep on applying dont give up. Usiachie hapo tu funga na kuomba kwa imani yako kwa wiki moja ukilenga sehemu unayoitaka. Am sure God will help. Binafsi nilifanya hivyo nilifanikiwa.
 
inabidi tujifunze kujitegemea ,maoni kwa walioajiliwa jitahidi kusave ili uweze kuanzisha miradi,jamaa amefanya kazi miaka mi3bado
analia,tatizo tunafanya kazi zisizo na maslahi, ni bora ukalime ! Mashamba yapo mengi vijijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…