N nyau wawili Member Joined Mar 28, 2011 Posts 9 Reaction score 1 Sep 20, 2011 #1 hivi jamani wana jamii kuna anayejua details za kazi za wizara mana kuna tetesi huku mitaani kuwa mwaka huu watatoa ajira kwa wote wenye digrii waliomaliza vyuo vya kilimo kama wafanyavyo kwa wale wa diploma !
hivi jamani wana jamii kuna anayejua details za kazi za wizara mana kuna tetesi huku mitaani kuwa mwaka huu watatoa ajira kwa wote wenye digrii waliomaliza vyuo vya kilimo kama wafanyavyo kwa wale wa diploma !
T tinaalfred Member Joined Aug 5, 2011 Posts 15 Reaction score 3 Sep 20, 2011 #2 amana kaka watatoa tu pinda kasema mi mwenyewe niliskia bungeni
KANCHI JF-Expert Member Joined Sep 3, 2011 Posts 1,532 Reaction score 230 Sep 20, 2011 #3 WE kuwa mvumilive bwanaaa.