UKWELIWANGU
Member
- Aug 11, 2011
- 82
- 5
jamani yeyote mwenye info kuhusu nafasi za kazi aniambie.
hata kama ikiwa ni ya mchongo poa. as long as i will earn my salary.
BUT
IT should follow under my career. i have bachelor degree in accounting. from UDSM
[Chungulia kwenye jukwaa la Vacancies utakuta makazi mengi, then tuma maombi]
NInatuma sana maombi kaka kutokana na matakangazo yalnayotoka ktk JF lakini hamna mafanikio.
bado sija fanikiwa jamani hivyo msinichoke.
wanajamii tutafutane jamaa tupeane ajira
Kazi ni maisha,and so kuitafuta ni kama vita vile?usichoke wala usikate tamaa!there is a day.