KAZI

MarkD

Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
72
Reaction score
43
Habari,
Kampuni ya Affluence Express Ltd iliyopo Dar Es Salaam na inayotoa huduma za Usafirishaji Vifurushi na Mizigo ina nafasi 3 kwa Vijana wa Kitanzania kama Ifuatavyo;-
1. Operations Officer (1) Sifa Kuu awe amesomea mambo yanayohusiana na Usafirishaji
2. Sales & Marketing Officer (1) Sifa Kuu awe amesomea mambo yanayohusiana na Marketing
3. Administration Officer (1) Sifa Kuu awe amesomea mambo yahusuyo Uhasibu
Kwa mwenye vigezo awasiliane nasi kupitia simu 0712066064 au barua pepe: staphordkwanama@gmail.com mwisho ni Ijumaa tarehe 28 Februari 2025 saa 10:00 jioni
 
Ni lazima awe amehitimu!? Au na sisi continous tunaruhusiwa kuomba?
 
mkuu naomba nafasi ya kupakia hiyo mizigo au kupanga mizigo nitashukuru sana mkuu kama nitapata hiyo nafasi.
 
Kiongozi naweza pata dereva mwenye uwezo wa kunendesha gar ndogo na ajue pikipiki vizuri (kazi ni messenger/derivery) mashaara 300k-400k
Watume cv WhatsApp 0622943394 . Deadline tar 14 saa 8am

Tusiombane pesa plse

Huyu hana Kazi ni mswahili anajitafiluta fatilieni nyuzi zake za nyuma
Huyu jamaa ni mtu mmoja mwenye multiple ID sjui ana lengo gani haswa. anapost kuhitaji wafanyakaz, ukimtumia details zako anakaa kmyaa sjui anazitumia kufanyia nn. nahisi anazichukua afu l anazitumia kama zake kwenye ishu za kitapeli yaan akitaka kumtapeli mtu anajitambulisha kwa majina ya mtu mwngne afu hata akiulizwa atume vitambulisho anatuma vya mtu huyo mana anakuwa tayar ana details zote za mhusika (ambaye aliomba hyo kazi hewa).

Anasema utume details zako kama vile driving licence, Nida ID, vyeti etc alafu ukishatuma anakaa kmyaa hajibu chochote. In short ni kwamba anakusanya taarifa binafsi za wanaotafuta kazi na kuzitumia kwa maslahi yake binafsi hakuna cha ajira wala nn.

Moderator tafadhali mshugulikieni huyu member.
 
 
Ni tapeli nashangaa Moderator hawamchukulii hataua ya kumpa ban
 
Da TANZANIA WAZINGUAJI NA WALINGISHIAJI KAZI NI WENGI sizani kama bandiko lako liko hai na linahitaji kweli ulichokiandika namana Watz wote jamii na mifumo yetu ya nchi imetufanya tuwe wabinafsi sana hivyo na ww bila shaka kama ni kazi mshamaliza najua hapo umebandika ili udanganye tu toto twa buku mbili waingie kingi upate utelezi mpaka .............
 
identity theft..kama ni kweli asifumbiwe macho ataumiza wengi maana watu wako desperate na maisha yamekuwa tight.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…