MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Usipotoshe Watu, yawezekana hukua na sifa za kazi zinazotangazwa, Vijana wengi wamepata kazi kupitia matangazo haya. Tokea mwaka 2016 ninapost nafasi za kazi mbalimbali na zaidi ya vijana 64 wanaendelea na kazi - karibu tutembelee PSSSF Millenium Tower II Ghorofa ya 20 ujionee, ongeza sifa zako ili uajilike, punguza wivu na usiwakatishe watu tamaa.Huyu hana Kazi ni mswahili anajitafiluta fatilieni nyuzi zake za nyuma
Asante kwa comment yako, umewaza mbali sana, ila ni maamuzi ya kampuni kutumia njia za mawasiliano inazopenda bila kupangiwa na mtu. Pia kama wewe ni Mtaalam ni fursa kwako kuitafuta kampuni na kuishauri namna bora ya kufanya mawasiliano kwa umma kwa malipo. Karibu tupo wazi kwa huduma za consultancy yakoKwa nini maombi yatumwe kwa Gmail ya mtu binafsi, kampuni gani hii imeshindwa hata kutengeneza email? Huu ni mtego, yanatengenezwa mazingira ya Rushwa hapa (ngono(ke) na fedha (me))
We ni kanjanja hakuna kampuni inayotumia Gmail tena ya mtu binafsiAsante kwa comment yako, umewaza mbali sana, ila ni maamuzi ya kampuni kutumia njia za mawasiliano inazopenda bila kupangiwa na mtu. Pia kama wewe ni Mtaalam ni fursa kwako kuitafuta kampuni na kuishauri namna bora ya kufanya mawasiliano kwa umma kwa malipo. Karibu tupo wazi kwa huduma za consultancy yako
Asante.We ni kanjanja hakuna kampuni inayotumia Gmail tena ya mtu binafsi