Kazi

Kazi

Daty

Senior Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
126
Reaction score
13
Jamani kuna mtu anatafuta kazi huu maka wa tatu ana diploma ya law
 
fanyia kazi ushauri wa Senetor hapo juu maana alichonacho hakitoshi
 
Anatafuta kazi jf? Halafu mwambie arudi shule coz haba wenye llb wanakosa kazi sembuse dip.
 
uhamiaji wametoa kazi wanataka watu wenye form 6 na wawe na diploma ya sheria mwambie achangamke atembelee website ya immigration for details
 
Mkuu endelea kutafuta kaz usikate tamaa. Kuna wenye masters zao hawana kazi na hiyo Dp yako ya sheria usichague career, angalia hata related fild. Ongeza shule.
 
Back
Top Bottom