Kazumari aliyekuwa wa kwanza kusema Dickson Job ni beki mfupi kaja na propaganda za nidhamu

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Huyu jamaa anayejiita Kazumari ni nani katika mpira wetu? Mbona naona Tff wanamhusudu sana.

Upande wangu namwona ni kati ya watu wanaoharibu mpira wa nchi hii mosi jamaa ameshindwa kuficha chuki zake dhidi ya Timu ya Yanga, Uongozi wake kaenda mbali mpaka kwa wachezaji wa Yanga.

Nafikiri kuna MTU/Watu pale Tff wanamtumia Kazumari unapatana na taarifa nyeti za Tff official Tff bado hawajazitoa Ila yeye tiyari keshapost.

Amejaa chuki sana, nakumbuka ishu ya Manara na rais Tff Karia pale Arusha yeye ndio aliikomalia mpaka manara akala mvua kutoka Tff.

Siku za karibuni naona mabandiko yake dhidi ya Kijana Mdogo anayejitafuta kwenye Soka Dickson Job kutoitwa T/Stars.

Anaripoti ishu kubwa ni Utovu wa nidhamu, kwangu sio kama ni ishu kwani mchezaji alijieleza siwezi kucheza namba flani iweze iwe tatizo la kinidhamu huwezi jua fitness ya mchezaji ilikuaje siku ile.

DRC ni kati ya timu iliyokua na winga wakali sana Afcon Kuna mwamba wakautwa Ben Wissa, Bangonda...nk Job aliona hana fitness nzuri ya kukabiliana nao then akaitwa mtovu wa Nidhamu.

Leo Kazumari anapata wapi nguvu ya kumsema Job wakati alikua wa kwanza kumponda kijana wa watu kwamba Yanga pamoja na T/stars zinafungwa kisa UFUPI wa Dickson Job.

Alifika sehemu anahoji mpaka uuambaji wa Mwenyezi Mungu sidhani kama Dickson Job alijiumba yeye.

Pamoja na kashfa za Kazumari dhidi ya Job Ila ukiangalia timu yake Simba wenye mabeki anaowaita warefu ligi ya ndani tu wamekula vyuma 18 achana na zile 5 za Yanga.

Tuamini vipi maneno ya Kazumari dhidi ya Job kama sio mwendelezo wake wa Chuki zake, Uzuri kijana kaamua kukaa kimya.

Wanasema akushindaye kwa maneno mshinde kwa kukaa kimya.
 
Mtu mzima anamuandama mtoto mdogo anyetafuta ugali wa family yake

Anapambana kuvunja moyo kijana
Watanzania wengi wako hivi

Ridhiki mwanzo wa chuki
 
Mtoa mada unazungumzia kazumari huyu shoga anayejiita jemedari said? Kama ni huyo sio mwanaume yule so ni kawaida yao.
 
Huyu jamaa anayejiita Kazumari ni nani katika mpira wetu? Mbona naona Tff wanamhusudu sana.

Upande wangu namwona ni kati ya watu wanaoharibu mpira wa nchi hii mosi jamaa ameshindwa kuficha chuki zake dhidi ya Timu ya Yanga, Uongozi wake kaenda mbali mpaka kwa wachezaji wa Yanga.

Nafikiri kuna MTU/Watu pale Tff wanamtumia Kazumari unapatana na taarifa nyeti za Tff official Tff bado hawajazitoa Ila yeye tiyari keshapost.

Amejaa chuki sana, nakumbuka ishu ya Manara na rais Tff Karia pale Arusha yeye ndio aliikomalia mpaka manara akala mvua kutoka Tff.

Siku za karibuni naona mabandiko yake dhidi ya Kijana Mdogo anayejitafuta kwenye Soka Dickson Job kutoitwa T/Stars.

Anaripoti ishu kubwa ni Utovu wa nidhamu, kwangu sio kama ni ishu kwani mchezaji alijieleza siwezi kucheza namba flani iweze iwe tatizo la kinidhamu huwezi jua fitness ya mchezaji ilikuaje siku ile.

DRC ni kati ya timu iliyokua na winga wakali sana Afcon Kuna mwamba wakautwa Ben Wissa, Bangonda...nk Job aliona hana fitness nzuri ya kukabiliana nao then akaitwa mtovu wa Nidhamu.

Leo Kazumari anapata wapi nguvu ya kumsema Job wakati alikua wa kwanza kumponda kijana wa watu kwamba Yanga pamoja na T/stars zinafungwa kisa UFUPI wa Dickson Job.

Alifika sehemu anahoji mpaka uuambaji wa Mwenyezi Mungu sidhani kama Dickson Job alijiumba yeye.

Pamoja na kashfa za Kazumari dhidi ya Job Ila ukiangalia timu yake Simba wenye mabeki anaowaita warefu ligi ya ndani tu wamekula vyuma 18 achana na zile 5 za Yanga.

Tuamini vipi maneno ya Kazumari dhidi ya Job kama sio mwendelezo wake wa Chuki zake, Uzuri kijana kaamua kukaa kimya.

Wanasema akushindaye kwa maneno mshinde kwa kukaa kimya.
Mbona meneja wa Job japo hajaiweka sababu wazi ila alipinga alicho kiongea Kazumari. Ila ndio wachambuzi wetu wazee wa kuungaunga wanajifanya kuchambua mpaka sheria za mpira wakati ni field nyingine ambayo hawaijui wala kuifahamu. Sometimes kuwapuuzia tu inawezekana wakawa na maslahi yao.

Mimi kwanza na shukuru kutomwita Job,maana hao Stars kurudi wanarudi tar 27,29 na 30 mechi za robo.So ndugu zangu wa Simba wachezaji wenu watapumzika siku moja tu,huku Yanga siku mbili. Sometimes hata TFF walitakiwa waangalie ndio tunaitangaza inchi ila hilo bonanza na CAF ipi ina impact kubwa kwa maendeleo ya soka letu.
 
HEMED MOROCCO: JOB HAKUWA MZALENDO, BADO NI MCHEZAJI WA STARS

"Mimi na Job tumezungumza yameisha salama waheshimu maamuzi ya Mwalimu, Nikiamua kusema hatumsaidii Job, Mimi nam-protect ni mchezaji mzuri,

Watu wangeliacha kama lilivyo nikilitolea ufafanuzi nitamuua huyo. Nimeamua kumpumzisha kafanya makosa tumesameheana".- Hemed Morocco
#SportsHQEFM Live Youtube EFM Tanzania
 
Mbona meneja wa Job japo hajaiweka sababu wazi ila alipinga alicho kiongea Kazumari. Ila ndio wachambuzi wetu wazee wa kuungaunga wanajifanya kuchambua mpaka sheria za mpira wakati ni field nyingine ambayo hawaijui wala kuifahamu. Sometimes kuwapuuzia tu inawezekana wakawa na maslahi yao.

Mimi kwanza na shukuru kutomwita Job,maana hao Stars kurudi wanarudi tar 27,29 na 30 mechi za robo.So ndugu zangu wa Simba wachezaji wenu watapumzika siku moja tu,huku Yanga siku mbili. Sometimes hata TFF walitakiwa waangalie ndio tunaitangaza inchi ila hilo bonanza na CAF ipi ina impact kubwa kwa maendeleo ya soka letu.
Kwenye paragraph ya mwisho umeandika kitu kikubwa na kizuri sana. Wangeita wachezaji wa timu zingine wawaache wa Simba na Yanga kwa ajili ya CAF.
 
Huyu jamaa anayejiita Kazumari ni nani katika mpira wetu? Mbona naona Tff wanamhusudu sana.

Upande wangu namwona ni kati ya watu wanaoharibu mpira wa nchi hii mosi jamaa ameshindwa kuficha chuki zake dhidi ya Timu ya Yanga, Uongozi wake kaenda mbali mpaka kwa wachezaji wa Yanga.

Nafikiri kuna MTU/Watu pale Tff wanamtumia Kazumari unapatana na taarifa nyeti za Tff official Tff bado hawajazitoa Ila yeye tiyari keshapost.

Amejaa chuki sana, nakumbuka ishu ya Manara na rais Tff Karia pale Arusha yeye ndio aliikomalia mpaka manara akala mvua kutoka Tff.

Siku za karibuni naona mabandiko yake dhidi ya Kijana Mdogo anayejitafuta kwenye Soka Dickson Job kutoitwa T/Stars.

Anaripoti ishu kubwa ni Utovu wa nidhamu, kwangu sio kama ni ishu kwani mchezaji alijieleza siwezi kucheza namba flani iweze iwe tatizo la kinidhamu huwezi jua fitness ya mchezaji ilikuaje siku ile.

DRC ni kati ya timu iliyokua na winga wakali sana Afcon Kuna mwamba wakautwa Ben Wissa, Bangonda...nk Job aliona hana fitness nzuri ya kukabiliana nao then akaitwa mtovu wa Nidhamu.

Leo Kazumari anapata wapi nguvu ya kumsema Job wakati alikua wa kwanza kumponda kijana wa watu kwamba Yanga pamoja na T/stars zinafungwa kisa UFUPI wa Dickson Job.

Alifika sehemu anahoji mpaka uuambaji wa Mwenyezi Mungu sidhani kama Dickson Job alijiumba yeye.

Pamoja na kashfa za Kazumari dhidi ya Job Ila ukiangalia timu yake Simba wenye mabeki anaowaita warefu ligi ya ndani tu wamekula vyuma 18 achana na zile 5 za Yanga.

Tuamini vipi maneno ya Kazumari dhidi ya Job kama sio mwendelezo wake wa Chuki zake, Uzuri kijana kaamua kukaa kimya.

Wanasema akushindaye kwa maneno mshinde kwa kukaa kimya.
Achana nae Jemedari Said mbwiga wa mbwiga huyo.
 
huyo kazumari aliomba fedha kulipia kodi kws injinia hersi,akanyimwa,basi toka siku hiyo mpaka leo ni kuisema yanga ba viongozi wake na wachezaji wake
 
Umeandika Pumba, Kocha wa stars mwenyewe kakili kua Job ni mfipi hawezi kucheza nafasibya beki wa kati.

Kama Job hakufanya kosa Aliomba msamaha wa nini?
Nadhani pale Yanga anacheza kama mshambuliaji wa kati..
 
Back
Top Bottom