HUYU NDIO MKONGWE SASA""" .
.
umri wake ni miaka 53 na bado Ni mchezaji wa Kulipwa kwenye mchezo wa mpira wa miguu. Anaekipiga kunako klabu ya Yokohama FC ya Japan Kazuyoshi Miura amekuwa akicheza kupitia miongo mitano tofauti.
kagere mzee lkn ni moto wa kuotea mbali nyavu zinalalamika kila siku.ana nguvu akili mwepesi.
kuna vijana wadoogo wa hapa bongo wanacheza mpira utadhani washazeeka nguvu hawana,speed amna,akili ya mpira aipo,mwili hauna unyambulifu,
wanazidiwa na mzee kagere