Wanatumia lugha ngumuuuuuuuuu, wakati hapo issue ni moja tu kuwa serikali ya Magu inauwa private sectors.... From january ajira zaidi ya 485,890 zimepotea baada ya makampuni na mashirika binafsi kupunguza wafanyakazi, then eti jana serikali inatangaza kuajiri watu 52,000 tu... Aisee... Kweli hii ni nchi ya Vi~wonder