Kcee Poses Next To His State Of The Art Cars

Hivi hawa wasanii wanapata wapi hela? Mbona siwaoni wasanii wa bongo wanaishi hivi??

KCEE hata hafahamiki ila cheki madude hapo.

Diamond wetu na nominations kibao sidhani kama ana nyumba ya kuishi
 
Kcee hafahamiki na nani?unamfananisha Kcee na Ndomo?you must be joking
 
Hivi hawa wasanii wanapata wapi hela? Mbona siwaoni wasanii wa bongo wanaishi hivi??

KCEE hata hafahamiki ila cheki madude hapo.

Diamond wetu na nominations kibao sidhani kama ana nyumba ya kuishi

Kcee hafahamiki?..karibu mjini dogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…