mfate42
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 4,034
- 4,792
Kiukweli naandika uzi huu nikiwa nabubujikwa na machozi, mana nimelipia hela ya operesheni na kupewa kitanda..kinachoendelea kila siku madaktari wananibadilishia siku ya kufanyiwa operesheni.na wakati kila siku kulala ni elfu kumi...je hii gharama nani atailipia???na kwanini mlikubali kupokea fedha na wakati mnajua nafasi ya kufanyiwa operesheni imejaaa...
Kuna mtu ananiambia ndo tabia ya kcmc bila kuwa na refa au kuhonga kiasi cha pesa kwa daktari, basi utarushwa siku kila siku iendayo kwa mungu...
Kwa hili sina bud kumuandikia mkurugenzi pamoja na kulifikisha ngazi husika..kcmc hamtoi huduma bali mmegeuza hospital ni sehemu ya kuwaonea watu