KCMC yakanusha kuua mgonjwa kizembe, yadai aliletwa akiwa tayari kishakufa

KCMC yakanusha kuua mgonjwa kizembe, yadai aliletwa akiwa tayari kishakufa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Ushahidi huu hapa

Malisa_GJ_on_Instagram:_“15_May_2021_aliyekua_Mkuu_wa_mkoa_wa_K'njaro_mama_Anna_Mghwira_al...jpg


Natoa pole kwa Wafiwa .

zaidi soma:

 
KCMC wamepangua hoja ila ukweli Mungu ndio anaojua. Hao watu wasingewasingizia kirahisi hivyo, kuna namna sio bure.
R.I.P Mama yake Hoyce Temu.
 
Mama alitahamaki unajua tena msiba wa mpendaye kama binadamu labda alipata presssure ya kifamilia

But so good mama aliparfome mkoa wetu, alijua wachanga na wapare tamaduni zao.
 
KCMC wamepangua hoja ila ukweli Mungu ndio anaojua. Hao watu wasingewasingizia kirahisi hivyo, kuna namna sio bure.
R.I.P Mama yake Hoyce Temu.
Mkuu ushahidi kuwa watu wanafika KCMC wazima na wanafia pale uko wazi, jirani yangu alifikishwa KCMC wahudumu baada ya kuona ana hali mbaya wakakataa kumpokea wakihofia COVID, walimpimia ndani ya gari bila hata ya kumshusha, na baada ya hapo wahusika wakaambiwa nendani na gari yenu mochwari.

KCMC emergency inatakiwa kuchunguzwa. malalamiko ni mengi sana.
 
KCMC manesi wana dharau sana, hilo halina ubishi, niliwahi kufika pale kutolewa pamba ya kusafishia sikio ilikwamia huko ndani wale manesi kuanzia pale mapokezi hawafai.

Labda kama niliyemkuta wakati ule awe alishaondoka ni muda kidogo umepita, ila kusema ukweli KCMC wale manesi sijui wamesomea wapi zile dharau, wanajisikia sana, ukimuuliza jambo hakujibu, au akijibu atakupa short inabidi ukubali tu matokeo.
 
Back
Top Bottom