Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Amemaliza na mguu wa kushotoMama alitaka aendelee kula upepo wa KLM
Ukweli ndio huoUnadhani watakubali amefia kesiemsii?
Nchi ngumu sana hii....
Viongozi walio chaguliwa na magufuli walikua ni vimeo kama alivyo kuwa mkuu wao.Unadhani watakubali amefia kesiemsii?
KCMC ni eneo hatari sana kwa wagonjwa. Wanaokufa ni wengi na ni Siri ya KCMC.
Kuna jamaa kasha wahi nipa history fulani kuhusu kcmc mpaka leo sija amini kama ni kweli au laaKCMC ni eneo hatari sana kwa wagonjwa. Wanaokufa ni wengi na ni Siri ya KCMC.
Funguka kwa upana MkuuSiku hizi Mungu anakulipa hapahapa hadhira ikishuhudia,Rachel alikuwa akimmiminia mitusi yule binti wa Ilala namna mama yake alivyofariki sasa ataambia nini raia juu ya kifo cha mama yake
Halafu ni wangapi wanakufa , kwanini Mama yake Hoyce ndio kamtoa RC Ofisini ?KCMC wamepangua hoja ila ukweli Mungu ndio anaojua. Hao watu wasingewasingizia kirahisi hivyo, kuna namna sio bure.
R.I.P Mama yake Hoyce Temu.
Ni kwasababu ni hospital ya rufaa, wagonjwa wengi wanaopelekwa pale ni wale mahututi (waliopewa rufaa kutoka hospital za wilaya na mikoa) so uwezekano wa kutokea vifo unakuwa mkubwa.KCMC ni eneo hatari sana kwa wagonjwa. Wanaokufa ni wengi na ni Siri ya KCMC.
Mkuu ushahidi kuwa watu wanafika KCMC wazima na wanafia pale uko wazi, jirani yangu alifikishwa KCMC wahudumu baada ya kuona ana hali mbaya wakakataa kumpokea wakihofia COVID, walimpimia ndani ya gari bila hata ya kumshusha, na baada ya hapo wahusika wakaambiwa nendani na gari yenu mochwari.KCMC wamepangua hoja ila ukweli Mungu ndio anaojua. Hao watu wasingewasingizia kirahisi hivyo, kuna namna sio bure.
R.I.P Mama yake Hoyce Temu.